Jamani Mondi hajamwachia Penny gundu

Penniel Mungilwa ‘Penny’   HANA gundu! Mtangazaji wa Kituo cha Magic Swahili kupitia kipindi chake cha Harusini, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amesema tangu alipotengana na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anamshukuru Mungu hajamuachia gundu.   Katika mahojiano na Gazeti la Ijumaa, Penny alisema baadhi ya watu wamekuwa wakisema tangu aachane na Diamond au […]