Wolper Kasahau Maumivu ya Mapenzi

KWELI au anazuga? Mkali wa sinema za Kibongo ambaye amegeukia kwenye ubunifu wa mavazi, Jacqueline Wolper Massawe amesema kuwa sasa hivi amesahau maumivu ya mapenzi.   Wolper ameliambia gazeti hili bora la mastaa la Ijumaa kuwa, zamani alikuwa akiumizwa mno kwa sababu alikuwa hajui jinsi ya kulipiza, lakini sasa amejua kila kitu hivyo aachi moyo […]